Hebu tujadiliane kidogo, kwani kuna allocations ambayo imefanyika kwa kupeleka wanafunzi sehemu ambayo ilikuwa haijaandaliwa kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa kidato cha tano. Wanafunzi hao wamepangwa katika shule ya sekondari ya Dr Nchimbi.
Mpaka sasa wizara haijatoa tamko la hao wanafunzi kuwa wanatakiwa kwenda shule zipi wakati kufikia jumatatu shule zinafunguliwa.
Je hawa wanafunzi watakwenda wapi?
Mpaka sasa wizara haijatoa tamko la hao wanafunzi kuwa wanatakiwa kwenda shule zipi wakati kufikia jumatatu shule zinafunguliwa.
Je hawa wanafunzi watakwenda wapi?