Tetesi: Matokeo ya kidato cha sita kutoka Jumatatu

wanjera

Member
Jul 1, 2016
72
25
Kuna tetesi yakuwa Matokeo ya kidato cha sita yanatarajiwa kutolewa jumatatu hii..
(Naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye ufahamu wa hili)
 
Wewe Kushasema "Tetesi" (Uncomfirmed News)!! Sasa Tujadili Nini?? Au umewahi kusikia Kuwa Tetesi inajadiliwa?
 
jamani matokeo n yetu, wala tusiwe na shaka,,,,,,,, yatatoka tu.... kwaiyo izo tetesi ziacheni zisitushanganye akili zetu
 
Back
Top Bottom