Naomba kufahamishwa kuhusu shule ya sekondari ya Bukongo

Jun 24, 2016
1
0
Habari;Ndugu zangu naombeni mwenye taarifa juu ya shule ya Sekondari ya Bukongo ambayo ipo Ukerewe ..nijuzen kuhusu mambo muhimu kama Michepuo yao hapo shulen na hali halis ilivyo.
 
Ni shule ya siku nyingi kidogo (imeanza mwaka 1993) na nadhani ndiyo shule ya kwanza ya sekondari ya serikali kwa wilaya ya Ukerewe. Mwaka huu wanapokea wanafunzi wa kidato cha tano wasichana kwa mara ya kwanza kwa michepuo ya CBG na HKL
 
Back
Top Bottom