Post Form Four Education ni tatizo HESLB

club6

Senior Member
Apr 11, 2014
157
61
Habari Wana Jf, nimejaza hatua zote kwenye fomu ya Maombi ya Mkopo Heslb lakini hichi kipengele cha "Post Form Four Education" kimekuwa tatizo kubwa. Nisaidieni tafadhali
 
Ata mimi imegundua hilo, ila nadhan ni kwa sababu Form 6 ya mara hii matokeo bado hayajaingizwa katika system hivyo indext bado hazijatambuliwa nadhan ni mpaka matokeo yao yatoke kwa mwaka huu wa 2016. Lakini waliofanya nyuma zinakubali.
 
Vp kuhusu photos umeweza kuziupload zikakubali????
 
Kwenye ku.upload photos inaniletea uchawi kweli haikubali sijui kwann.
Wameniandika max size..ni 1MB mi nimeweka yenye 0.34 ila naona alama nyekundu.
Type ya photo wameandika ni (.jpg or .pjn)
Mi nimeweka jpg ila kuna red mark, shida nin hapa.??
 
Ata mimi imegundua hilo, ila nadhan ni kwa sababu Form 6 ya mara hii matokeo bado hayajaingizwa katika system hivyo indext bado hazijatambuliwa nadhan ni mpaka matokeo yao yatoke kwa mwaka huu wa 2016. Lakini waliofanya nyuma zinakubali.
Nimewapigia wamesema wanashughulikia sio mpaka matokeo yatoke kesho itakuwa tayari
 
Umetumia app gani mkuu? Ili kupata size wanayoihitaji, Km hutojali nisaidie hilo jina la hiyo app tafadhali ili nifanikishe mambo na kwangu.
ID passport photo maker kuna sehemu ni custumize size unaweka unayo taka kwa kwa kuandika ile walio kupatia
 
Ata mimi imegundua hilo, ila nadhan ni kwa sababu Form 6 ya mara hii matokeo bado hayajaingizwa katika system hivyo indext bado hazijatambuliwa nadhan ni mpaka matokeo yao yatoke kwa mwaka huu wa 2016. Lakini waliofanya nyuma zinakubali.
ni kwasababu matokeo bado hayajatoka so ni kama hiyo index namba unayoingiza details zake zinakuwa haziwiobtained
 
Wakuu samahani kwa usumbufu katika hapa kulipia m_pesa nikishalipia napewa zile transaction ID tisa tarakimu lakini hapa kwenye ku apply wanataka tarakimu nane hii mumefanyaje hapa wakuu. nashukuru.
Aaaaah mkuutarakimu nane kweeeliiii?????
Mi mbona cjaona kitu kama hicho kuwa wanahitaji tarakimu 8 mkuu??
 
Back
Top Bottom