Andrew Sosipeter
Senior Member
- May 29, 2016
- 189
- 33
Ndugu wana jf rejea maada tajwa hapo juu natafuta shule ya private yenye bei nafuu day jijini mwanza yenye high school na iwe vzr academic unaweza utaniambia shule ipi nzuri na ikiwezekana unitumie na. Mawasiliano ya uongonzi