Je mtu akishachaguliwa kujiunga kidato cha tano, anaweza kuchaguliwa na NACTE?

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Wataalamu naomba kujua, ikiwa kijana amechaguliwa kujoin form five na wakati huo huo alikuwa ameomba NACTE, Je NACTE watamchagua?

Ufaulu wake ni mzuri (Division 1)
 
Navyo jua mm haiwezekan kuchaguliwa sehem mbili, maana kuna mawasiliano baina ya sehem hizo mbili

Ninachojua ni kuwa kwa university huwezi chaguliwa kozi moja vyuo zaidi ya kimoja maana unakuwa umeweka kwa priority yako. Sasa hii mtu anaangalia kuwa nikikosa form five niende chuo, anyway sijui shida tupu nchi hii
 
Back
Top Bottom