Kanuni hii imekaaje?

k29

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
730
1,207
KANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.


Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza
 
KANUNI YA AKIMEDES:
Kitu kikizama nusu au chote kwenye ugiligili hukutana na kani mnyanyuo ambayo ni sawa na ugiligili uliomwagika.


Bora tuendelee kusoma kwa kiingereza
ni kweli mkuu hzo laws za physics kuzitafsiri ni ngumu sana
 
Alaf wanakuja wabunge waliosoma arts kiswahili na history wanashinikiza elimu itolewe kwa kiswahili sasa sijui Concentrated Sulphuric acid kiswahili chake nini au Electrolysis
 
da! mkuu ulivyotumia hicho kiswahili hata concept kichwa changu kimeferi kusearch


LOADING.........
 
kumbe ndo manaake duuu!
mm nimesoma mechanical engineering mfano crankshaft=mtalimbo,piston=mchi wa mashine ikumbukwe hiyo mashine=machine yaan tumekosa kiswahil chake wakaamua kutohoa da! yaan bora wabakie hukohuko na kisw chao wasikilete kabisa huku
 
Back
Top Bottom