Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani nime apply Nacte [law] Lakin naona wanazingua lakini wAzo lililo nijia kwenda Advance(private) ila kikwazo matokeo Kisw C Engl C Hist D Geo D Civ D Bio D Math f Nisubili Nacte au niende privat
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Watu wenye vyeti feki na watumishi hewa sio watu wa kuonewa huruma hata kidogo maana wamewasababishia vijana wasio na makosa kabisa ajira zao kusimamishwa, wailetea serikali hasara kubwa, wataalam...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimemaliza form four mwaka jana na nkapata div 3 but sijachaguliwa shule na serikali, je niende private au chuo? Na sijachelewa kuapply chuo? MATOKEO YANGU NI:- HIST D GEO D CIV D BIO...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Msaada wenu tafadhali juu ya uelewa wa hivi vitu kwa mfano Division 1 = gpa ?-? Na kuendelea mpaka division 0
0 Reactions
0 Replies
3K Views
jamani kwemaa?...napenda kujua eti majina ya waliochaguliwa kujiunga na certificates au diploma ni lini yanatoka?...maana mdogo ananisumbua sana..#msaada jamani please!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Namba mnisaidie Hawa TCU si wanahisika na waliomaliza frm6, sasa Hicho kifungu cha 5.1 cha waliomaliza DIPLOMA awe na GPA 3.5 kinawahusu nini wao, wakati wanafunzi wameisha apply through NACTE...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TCU wametoa sifa za kujiunga na chuo kikuu wastani wa D mbili, kitu kisichowezekana kwa wanafunzi wote wa kidato cha sita kujiunga chuo. Kuna kundi kubwa sana la wanafunzi watakao kosa sifa za...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jaman wanajamvi naomben msaada nmekosea kuandika Jina la mtaa kwenye form yangu ya mkopo je nifanyeje maana baada ya kuandika mtaa nmeandika ile sehem mfano banana instead of kitunda je apo itakua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni msaada kwa hili je grade zitakazo tumika kwa matokeo ya kidato cha sita mwaka 2016 ni hiziau ni hizi
1 Reactions
21 Replies
30K Views
Nimeingia tovuti ya HESLB na kuomba mkopo kwa kujaza zile fomu za OLAS. Nikafika kwenye fomu ya 'Post Form 4'. Kwenye fomu hii kuna vipengele vya form six index number, candidate type, school...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wiki hii tumepokea mabadiliko ya sifa kwa wanataka kusoma elimu ya juu kupitia TCU nimeona kuna mabadiliko tofauti na NACTE walivyotangaza na watu wakaomba. Jambo ambalo linanipa sintofahamu ni...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau nimetengeneza hii thread ya IT ili tuweze kubadilishana mawazo na kushauriana katika maswala mbalimbali kwenye hii industry ya IT. Wale System Administrators,Network Administrators,Security...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nilienda chuo flan hivi dar kuomba nafasi ya kusoma katika chuo chao, Nikalipia form ya kujiunga na pesa ya nacte na wakanifanyia maombi kweli kwenye CAS na wakanitumia user name na password ya...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana JF, Kama title inavyojieleza. Ni utaratibu usiopingika mara nyingi kwa Phd. holders na Professors kuwa na machapisho ya kitaaluma kwa fani zao walizobobea. Nimejaribu kutafuta chapisho la...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
The webometrics Ranking of world universities,they have ranked the universities in Africa based on various parameters. Here are the top 20 universities in Africa. 1:University of cape town(south...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau naombeni mnieleweshe, huwa nsskia sana neno "open university" lakini huwa sielewi ni vyuo vya namna gani na vinahusu nini, nielewesheni tafadhali.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mathematics Exam in Kiswahili: Tofautisha Y ukimpa X heshima zake. (Differentiate Y with respect to X) [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau ninashida muhimu sana! kwa anaejua anwani ya hao nliowataja hapo juu anisaidie! ni muhimu sana jamani! jioni njema
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Leo watoto wamepata hela ya kujikmu baada ya kuteseka bila hela miezi miwili.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu alikuwa anasoma degree tangu mwaka 2014 ila ameacha chuo mwaka huu baada ya kugundua kozi aliyokuwa anasoma haina msaada kwake, anataka aapply upya tena kupitia TCU inawezekana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom