Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

*TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA KITANZANIA WANAOTARAJIA KUOMBA SCHOLARSHIP YA ALGERIA* Ndugu watanzania wenzangu, hivi karibuni lilitolewa tangazo kuhusu maombi ya scholarship ya Algeria...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
kama inavojulikana kuwa bajeti ya mikopo ya elimu ya juu huwa inaandaliwa kwa kiwango flani na ufaulu wa wanafunzi umepungua wengi hawatoendelea degree je kuna uwezekano wa non priority course...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sasa hivi kuna mitihani inaendelea, cha kushangaza vijana wetu baadhi wamelipa ada lakini hawajafanya mitihani kwa sababu mbalimbali za kichuo eti system. Wamepewa ratiba nyingine maana watafanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzumbe Secondary Ilboru Secondary Kibaha Secondary Tabora Boys Secondary Tabora Girls Secondary Msalato Secondary Kilakala Secondary Pugu Secondary Minaki Secondary Azania Secondary Tosamaganga...
10 Reactions
299 Replies
41K Views
Jamani mimi ni mwanafunzi wa KCMC kozi ya Pharmacy. Naomba msaada wa kuweza kumaliza masomo yangu ya diploma mwaka ujao kwani nimekwama kiada. Aliyekuwa akinisomesha amefariki dunia. Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za weekend wakuu.. Ufafanuzi unahitajika hapa, hivi hoja ya msing ya TCU ni angalau D mbili au angalau point 4.0? Au vyote? Tazama huo mfano[emoji1541] 1) Mtu mwenye D D E anakua na...
4 Reactions
119 Replies
16K Views
TAMKO LA KAMATI YA MAWAZIRI WA MIKOPO WA SERIKALI ZA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU TANZANIA KUHUSU UCHELEWESHWAJI WA MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KATIKA KIPINDI CHA MAFUNZO KWA VITENDO MWAKA 2016/2017...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari naombeni msaada kwa mliokwisha kujaza form ya mkopo, nataka kujaza niandae vitu gani?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa katika bwana. Mimi nina maoni machache tu kuhusu Tanzania Commission for Universities(TCU). Nafikiri wanapaswa kuangalia tena mfumo mpya wa kujiunga na chuo. Ile idadi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama mwanafunzi anasoma ITA aje hapa kuna maswal nahitaji anisaidie kidgo.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Taarifa imesambazwa kwenye Halmashauri zote, Kwa Waratibu Elimu kata, Wakuu wa Shule za Sekondari na Walimu wakuu wa Shule za Msingi ikiwataarifu kuwa hakutakuwa tena na mchujo wa mtihani wa kati...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Samahani kwa usumbufu wa ndugu. Ndugu yenu nahitaji la kujua kuhusu mwandishi wa kitabu cha "Mfalme Juha" kama bado yupo hai? Na kama yupo hai huyo mzee anapatikana wapi? Nataka kufanya nae...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nikapata div3 ya 24, sinafanikiwa kuchaguliwa form5 na nimebaki njia panda juu ya hatima yangu. Nataka nirudie masomo niliyopata D na F mwakani kwani nina...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Natumaini mu wazima wana jf, nimefungua thread hii ili iweze kuwasaidia wale wote wanaofanya application vyuo vikuu mbalimbali nchini, pia maswali mbalimbali yanaweza ulizwa hapa. Payment...
3 Reactions
698 Replies
179K Views
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Sita 2016, ambayo ufaulu wake umeshuka, huku shule ya sekondari Kisimiri, ambayo ni ya kata ikishika nafasi ya kwanza kitaifa...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Kama kawaida yangu,ninakupa kitu roho yako inapenda,je ungependa kujua GRADE A,B,C,D,E,S,F ULIZOPATA NI SAWA NA MAKSI NGAPI HADI NGAPI?Basi angalia hapo chini kujua maksi zako;
0 Reactions
1 Replies
7K Views
PUBLIC NOTICE The National Council for Technical Education (NACTE) would like to inform you that the deadline for application into Bachelor Degree programmes through the Central Admission System...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Ninachukua combination ya PGM, na pass marks zake nilipata ni DCD na mimi nataka kubadilisha coz wamenipangia HGL kwa pass mark ya CCB, nimetuma maombi ya kubadilisha comby mkoani na sasa hivi...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Hii mada ni kwa ajili ya wanachuo tuliofikisha GPA mpya 3.5 na kupanda juu mpaka 4.5 jamani asikwambie mtu kufaulu ni raha. A=5, B+=4, B=3, C=2 GPA=E(GRADE POINTS * CREDIT HOUR)/E TOTAL CREDITS...
11 Reactions
130 Replies
15K Views
Back
Top Bottom