Msaada: Niende shule ya private A-level au nijiunge na chuo?

iddy eba

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
573
1,171
Nimemaliza form four mwaka jana na nkapata div 3 but sijachaguliwa shule na serikali, je niende private au chuo? Na sijachelewa kuapply chuo?
MATOKEO YANGU NI:-
HIST D
GEO D
CIV D
BIO C
ENG C
KISW C
MATH C

NITASHUKURU MKINISAIDIA MAWAZO YENU
 
Nenda kaendelee na masomo ya advance,kwa maelezo zaidi au msaada,unaweza kunicheki through 0656415981.
 
Mh Ati Kisa Una C Ya Math Unataka Piga Egm Apana Kwa Tokeo Lako Inaonyesha Geog Aupo Vzur Itakusumbua Sana Ata Pure Usukum Alafu Private Kuna Wastan Unaopaniwa Uhufikishe Unaweza Usitimize Malengo Yako Kwa Jins Tokeo Lako Lilivyo Nakushaul Chagua Moja Kat Ya Hge Au Hkl Kama Unaipenda Sana Esabu Chukua Hge Utasoma Bam Lakn Egm Mzigo Wa Pure Na Physical Geog Wastan Ufikish Geog Imekuumbua Toka Olevel Advanced Itakutoa Kamac
 
But nna D Ya history kaka
 
Back
Top Bottom