NANGA WA KWATA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 346
- 232
Nina mdogo wangu alikuwa anasoma degree tangu mwaka 2014 ila ameacha chuo mwaka huu baada ya kugundua kozi aliyokuwa anasoma haina msaada kwake, anataka aapply upya tena kupitia TCU inawezekana na utaratibu ukoje??? Je atume? Je? Bodi ya mkopo aaply upya? Maana alikuwa amepata loan board. Je? Loan board aapply tena??
Karibuni kwa hoja wasomi
Karibuni kwa hoja wasomi