topmaskarey99
Member
- Jun 2, 2016
- 37
- 16
Wadau ninashida muhimu sana! kwa anaejua anwani ya hao nliowataja hapo juu anisaidie! ni muhimu sana jamani! jioni njema
nimesearch hadi nimechoka aisee sizipatiAngalia Google utazipata
nataka nimfanyie uhamisho ndugu yng! amepangiwa shule mbali na ana matatizo kdogo!Sema kwanza shida yako ndo upewe sio uungwana kutoa no za watu bila ridhaa yao