Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hii mada ni kwa ajili ya wanachuo tuliofikisha GPA mpya 3.5 na kupanda juu mpaka 4.5 jamani asikwambie mtu kufaulu ni raha. A=5, B+=4, B=3, C=2 GPA=E(GRADE POINTS * CREDIT HOUR)/E TOTAL CREDITS...
11 Reactions
130 Replies
15K Views
habar wanajamvi mnaweza nisaidia shule privat alevel sayans zenye ada nafuu chni-lak9 hatakama haifany vzr katka result nisaidie kama unafaham!
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Nawezaje kuitumia program ya Accounting Package has a Tally? Naomben msaada
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Wakuu , Habar zenu Ningependa kufahamu ufaulu wa masomo kiujumla yani somo lipi limeongoza kwa ufaulu na lipi kwa kufeli Asanten Wakuu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SERIKALI na wadau wa sekta ya elimu wanatakiwa kuboresha shule kongwe zilizopo hapa nchini kwa kuwa zina mchango mkubwa katika kulifikisha Taifa hapa lilipo. Wasomi wengi waliostaafu...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Azania kunani jaman,?? Ngozie vip.. Wadau tulisoma azania tupo wapi?
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Wale woote tulioanza shule mwaka 1999 huu mwaka ni mwaka wa nuksi kwetu aiseee dah sijui kwa kuwa ndio mwaka ambao baba wa taifa alitutoka khaaa tunapita kipindi kigumu mno katika taalimu yetu...
6 Reactions
67 Replies
7K Views
Natumai hamjambo, wale walioamka na matatizo mbalimbali poleni sana na Mungu muweza atawapa urahisi kuondokana na matatizo hayo. Baada ya salamu niingiie kwenye swali langu ambalo nikutaka kujua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Matokeo ya kidato cha sita 2016 yanatoka lini? Na grade ni zile zile au zmebadilika tena? Msaada tafadhali
0 Reactions
21 Replies
12K Views
check your names na pia yapo wasiokidhi vigezo ambayo sijaweka hapo
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Wakuu shule kama tosamaganga,ifunda tech,malangali,moshitech,galanos,pugu,weruweru,ashiragals,bwiruboys,bwiru boys,zimepotea kabisa katika taaluma wakuu tatizo ni ni ni? ,shule hizi zinachukua...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
ii serikali ijaribu kutafakali kwa kina.Alama za mwaka huu zimebanwa sana. 2016/2017 A.80_100 B.70_79 C.60_69 D.50_59 E.40_49 Hapa ukiwa na CEE huendi chuo eti mpaka uwe na D mbili. 2014...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau kuna MTU hapa nna mdau mwenzangu alipiga EGM mwaka 2012 na alipata E flat yaani EEE Je hapo akiapply chuo mwaka kunakupata kweli
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu yangu alipata C moja ña D moja ktk matkeo ya kidato cha nne,je nichuo gani cha certificate anaweza soma Na course gani kwa bei gani. Mahali popote nchini Tanzania.Asanteni.
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wadau samahani kuna application nilikuwa nafanya bodi ya mikopo sasa nilishindwa kumalizia kwa sababu sikuwa na passports ya bwana mdogo Na ya baba yake. Sasa kuja kurudi nikitaka Ku log in...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
I am a graduate of BSc Statistics and I am so much interested in becoming the health researcher (Bio-statistician), I do seek the advice from professionals of health over two matters; a) My...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
1. UDSM 2. UDOM 3. SAUT 4. ST. JOHN 5. MZUMBE 6. MUSLIM UNIVERSITY OF MORO 7. KAMPALA I. UNIV. 8. THEOFILO KISANJI 9. IMTU 10. TUMAINI 11. ST. JOSEPH 12. MWENGE 13. ARDHI 14. DUCE 15. RUCO 16...
0 Reactions
99 Replies
25K Views
Wakuu kama kuna mtu anaefahamu tarehe ya matokeo kutoka ya kidato cha sita 2016.. anisaidie [emoji120]
1 Reactions
36 Replies
13K Views
Tumeona kwamba matokeo yao pia yametoka leo kww walimu wa cheti na diploma..hivi serikali kwanini isiwaajiri tu na waliomaliza mwaka jana kwakua mpaka sasa ajira bado..au ndo lazima ukae usote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom