ivunya
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 2,290
- 2,219
TCU wametoa sifa za kujiunga na chuo kikuu wastani wa D mbili, kitu kisichowezekana kwa wanafunzi wote wa kidato cha sita kujiunga chuo. Kuna kundi kubwa sana la wanafunzi watakao kosa sifa za kujiunga chuo.
Je hili kundi kubwa unalipeleka wapi wakati NACTE wamefunga maombi ya kujiunga certificate na Diploma? Watu wenye sifa wataapply chuo mwaka huu na kujiunga na elimu ya juu. Wenzao wasiokuwa na sifa wasubirie mpaka mwakani? Ni kitu kisichowezekana.
Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa NACTE wakatoa nafasi tena ya kutuma maombi ya kujiunga na Certificate na Diploma kwa hili kundi la watu watakaokosa sifa za kujiunga na Chuo.
Uvumilivu unahitajika sana maana week walizotangaza kuwa selection kutoka zimepita.