Shebbydo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,174
- 1,937
Wana JF,
Kama title inavyojieleza. Ni utaratibu usiopingika mara nyingi kwa Phd. holders na Professors kuwa na machapisho ya kitaaluma kwa fani zao walizobobea. Nimejaribu kutafuta chapisho la Mh. Rais Dk. Magufuli sijafanikiwa kulipata. Member yeyote ambaye alishakutana na machapisho ya Mh. basi anielekeze.