Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habarini za jioni bandugu,ninaomba kufahamishwa mana ninataka kujiunga na open kwa kuanza na foundation coz,sasa je nikimaliza alaf nikajiunga na degree serikali itakubali kuja kuniajiri?na je...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
nimemaliza kidato cha sita Azania Secondary mwaka huu nimekuja bukoba kutembea Na kusalimia ndugu kidogo nipo nshambya.nilikuwa napenda kupata marafiki wakupeana na mawazo ya hapa na pale na ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kwa mwanafunzi wa kidato cha NNE ambaye hakusoma physics ila chemistry na biology kafaulu vizuri anaweza kusoma medical officer chuo cha serikali?
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Naombeni majibu jamani, kwa yeyote anayejua mahali popote Moshi chuo cha uandishi wa habari na utangazaji naomba anijulishe please.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna namba upande wa kulia imeanzia Alphabet ipo juu pia kuna namba upande wa kushoto ipo chini ina slash je sahihi ndo ipi msaada tafadhal.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu inaendelea za zoezi la uhakiki wanafunzi wa elimu ya juu nchi nzima ambapo katika taasisi 26 zilizohakikiwa,taasisi 18 jumla ya wanafunzi 2,739 hawakujitokeza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WanaJF Mimi matokeo yangu (ya kidato cha nne) yako kama ifuatavyo; Chemistry-b Biology-b English-b History-d Civics-d Geography-c Mathematics-c Kiswahili-c Halafu sijapata shule. Je, kuna...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Natumaini kati tarehe 7-10/6 /2016 vijana waliomaliza kidato cha sita wasiopungua 15000 walijiunga na jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria kwa muda wa miezi 3,vijana hao wengi wao kama sio...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu wana jf. Natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha. Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu katika degree ya ualimu katika masomo ya hesabu na jiographia. Nimekuwa nikifundisha secondary advance na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za mda huu wanajamii Naombeni msaada Wataalamu wa IT walioko humu. Jana nilijaza fomu ya bodi ya mikopo sasa kuna sehemu ya wilaya nilikosea kujaza. Badala ya kuandika wilaya ya...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Nimefanya application ya Masters UDSM online. Nimefuata taratibu zote na nimefanikiwa kutuma maombi na kupata serial number (S/N). Lakini mpaka sasa kwenye application form inaonyesha kwenye...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
UFISADI TRAINING COLLEGE; Inakutangazia kozi zifuatazo; 1. Wizi wa kura. 2.Utumiaji wa vyeti feki. 3.Kulipa mishahara hewa. 4. Kuanzisha Makampuni hewa. 5. Kuiba misaada ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kufahamu jinsi ya kujaza form ya mkopo undergraduate degree je unaijaza form kabsa Online kisha unadownload au unaidownload mwnz kabla ya kujaza unaijza kwa pen? Naomba kufaham celew mambo...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
wakuu naombeni anaejua ada ya solace girls ya mbeya anitaarifu.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
PROF. SHABAN MLACHA wa idara ya kiswahili anaendelea kulalamikiwa kuwa ndiye chanzo kikuu cha migogoro katika chuo kikuu cha Dodoma. Prof huyo ambaye pia ndio naibu makamu mkuu wa chuo...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Ndugu nataka kusoma diploma ya sheria vp ushauli wenu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu tungependa kufahamu kwa waliokosea kujaza hizi form za mkopo. Kama mimi nimekosea kujaza kata itakuaje hiyo?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
salam,wakuu naomba msada huo ili niokoe jahazi huku.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa anaeifahamu course hii kwa Tanzania soko la ajira lipo vipi na unafnya kaz maeneo gani?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Siku hizi kuna vyuo vingi sana Tanzania na kuna wa wanavyuo wengi sana Tanzania ila tatizo lipo kwenye fikra na matendo ya wanavyuo sababu kuna wanavyuo wengi wajuaji na idadi ndogo ya wana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom