Hussayn yahaya
Member
- May 12, 2016
- 19
- 2
Nilienda chuo flan hivi dar kuomba nafasi ya kusoma katika chuo chao,
Nikalipia form ya kujiunga na pesa ya nacte na wakanifanyia maombi kweli kwenye CAS na wakanitumia user name na password ya CAS.
sasa wameniambia nilipie na ada kabisa bila nacte kutuma majina yetu kama tumechaguliwa kuijiunga na hicho chuo!
Je ni sahihi kulipa ada kabla ya NACTE hawajatangaza majina????
Naomba mnifahamishe juu ya jambo hili kwa wenye kuelewa zaidi!