Nmekosea kujaza mtaa kwenye form yang ya mkopo nifanyaje


juliusJr

juliusJr

Senior Member
Joined
Jul 14, 2016
Messages
106
Likes
29
Points
45
Age
24
juliusJr

juliusJr

Senior Member
Joined Jul 14, 2016
106 29 45
Jaman wanajamvi naomben msaada nmekosea kuandika Jina la mtaa kwenye form yangu ya mkopo je nifanyeje maana baada ya kuandika mtaa nmeandika ile sehem mfano banana instead of kitunda je apo itakua VIP?
Nawasilisha I need your help pals
 
lamar dula

lamar dula

Member
Joined
Aug 4, 2015
Messages
57
Likes
9
Points
15
lamar dula

lamar dula

Member
Joined Aug 4, 2015
57 9 15
Ukituma hio form heslb ambatanisha barua ukieleza kama umekosea hio sehem
 
juliusJr

juliusJr

Senior Member
Joined
Jul 14, 2016
Messages
106
Likes
29
Points
45
Age
24
juliusJr

juliusJr

Senior Member
Joined Jul 14, 2016
106 29 45
Pamoja #lamar dula nmekupata
 
N

Nwaigwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Messages
875
Likes
575
Points
180
N

Nwaigwe

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2009
875 575 180
Mnajaza server kwa maulizo ya kijinga na kitoto kabisa. Hivi kwanini usiwafuate ukawaambia? Yaani ninyi wadogo zetu wa miaka ya tisini na elfu mbili mnakera. ...
 
SniperBoi

SniperBoi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Messages
1,111
Likes
1,098
Points
280
SniperBoi

SniperBoi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2016
1,111 1,098 280
vijana matokeo yenu yameshatoka ingieni necta mjionee
 

Forum statistics

Threads 1,236,374
Members 475,106
Posts 29,255,701