IT Specialists thread

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,936
3,959
Wadau nimetengeneza hii thread ya IT ili tuweze kubadilishana mawazo na kushauriana katika maswala mbalimbali kwenye hii industry ya IT.
Wale System Administrators,Network Administrators,Security Administrators,Database Administrators,Web Administrators, Programmers na wengineo wote karibuni kwenye jukwaa letu tubadilishane mawazo.
 
Kwa kuanza, naomba uni fahamishe college gani nzuri ya kuji funza I. T? Kwa Dar, sbbu mi npo mkoani
 
Kwa kuanza, naomba uni fahamishe college gani nzuri ya kuji funza I. T? Kwa Dar, sbbu mi npo mkoani
Inategemea unataka kusomea kitu gani. Unataka ufanye proffesional course,diploma au bachelor degree?
 
Back
Top Bottom