kyutta
Member
- Jun 11, 2016
- 34
- 25
Namba mnisaidie Hawa TCU si wanahisika na waliomaliza frm6, sasa Hicho kifungu cha 5.1 cha waliomaliza DIPLOMA awe na GPA 3.5 kinawahusu nini wao, wakati wanafunzi wameisha apply through NACTE tokea mwezi wa NNE na sifa ilikuwa MTU awe na GPA ya 2.8, Naomba msaada hapo mbona TCU na NACTE wanajochanganya? kama ni jipu NDALICHAKO WATUMBIE.