SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,262
Nimeingia tovuti ya HESLB na kuomba mkopo kwa kujaza zile fomu za OLAS. Nikafika kwenye fomu ya 'Post Form 4'. Kwenye fomu hii kuna vipengele vya form six index number, candidate type, school number, candidate number na year completed.
Nimejaza vyote vizuri na kubonyeza 'save' lakini fomu imekataliwa kwa kuambiwa: All fields for form six index number are required.
Je mlioomba mkopo mmekutana na hii kitu?
Mlifanyaje? Naomba msaada.
Nimejaza vyote vizuri na kubonyeza 'save' lakini fomu imekataliwa kwa kuambiwa: All fields for form six index number are required.
Je mlioomba mkopo mmekutana na hii kitu?
Mlifanyaje? Naomba msaada.