Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwa mwenye kujua naulizia kama tegeta kuna comb ya EGM Niulizieni na fee structure ipo vp jamani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wa jf, kwa yeyote anayejua hostel zenye rums za mtu mmoja anifahamishe Tafadhali. iwe ipo karibu na maeneo ya sinza,mikocheni, mwenge,ubungo, Bamaga, au kijitonyama. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana JF Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwa anaejua shule nzuri ya private isiwe mbali na iringa yaani iwe ni mikoa jirani na iringa kwa yeyote anayeifahamu naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamvi habari zenu, Natafuta shule ya Private ya Advanced Level yenye combination ya CBG kwa Ada ya chini ya Milioni moja na nusu. Asanteni.
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Naomba nijuzwe kuna utofauti gani mtu akiomba NACTE au TCU? Na je NACTE wanaitaji watu kuanzia ngazi gani na TCU wanaitaji kuanzia ngazi gani pia? N;B kama nimekosea sehemu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilienda Open University wakaniambia niapply hapo chuoni. TCU wanasema uapply degree kupitia kwao peke yake. Je,ni sahihi kuapply chuoni degree au nimeliwa? Au niapply TCU upya?
1 Reactions
38 Replies
4K Views
HESLB has issued seven days for the students to avail themselves for verification in their respective universities, failure of which they will be required to return the loans in full or face...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau kama kuna mwenye guidebook ya mwaka huu anitumie pic ya course zitazotolewa NIT. Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada kufahamu mwanafunzi wa aliyehitimu kidato cha sita masomo ya arts akipata Division one kama course anayoapply si priority mkopo inakua si uhakika licha ya kuwa ana one? Msaada plz
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Wakufunzi kutunga mitihani hawalipwi, kusahihisha mitihani wanalipwa kila paper, kusimamia wanalipwa. Swali la kujiuliza kumark na kusimamia mitihani sio moja ya kazi zao za kawaida? Inakuwaje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni course gan anaweza kusoma ukiacha education.
0 Reactions
9 Replies
8K Views
VP TCU wametoa guide book ya 2016/2017?????
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Siku hizi kuna vyuo vingi sana Tanzania na kuna wa wanavyuo wengi sana Tanzania ila tatizo lipo kwenye fikra na matendo ya wanavyuo sababu kuna wanavyuo wengi wajuaji na idadi ndogo ya wana...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za kutwa watanzania wenzangu nilikuwa naomba kufahamishwa kwa wanao faham juu ya chuo cha NIT. Je kinatoa kozi za udereva wa magari makubwa? Au ni chuo gn kinatoa hiyo kozi na inatumia...
0 Reactions
8 Replies
16K Views
Matumizi ya simu za mkononi Ni miongoni mwa mapinduzi makubwa ya mawasiliano hapa nchini,aidha imerahisisha hats mfumo wa utumaji wa hela miongoni mwa watanzania wengi. Pamoja na kurahisisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu leo hii naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa. Yupo mwalimu aliyejulikana kwa jina la Lweshabula Kyabugera kutoka wilaya ya Muleba. Akiwa kama mtaalamu wa kwanza katika wilaya hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwa anayejua shule nzuri inayo fundisha elimu ya watu wazima yaani Qt secondari kwa miaka miwili anijuze plz, maeneo ya buguruni. Nategemea majibu mazuri kutoka kwenu
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom