Wanafunzi waanza kupata boom

Hii habari haiwezi kuchangiwa sana,watu hawapendi kusikia habari nzuri
 
Watulie sasa.. waache kujirusha club.. wanatumia hela kwa mahesabu ambayo hayapo..!! Fedha ni za kujikimu tu si kwenda club na mashopping ya nguvu, fedha ni za chakula tu..
 
Nunueni tena misubwoofer, wapenzi mlioachana mrudiane, kaleteni tena fujo bar, msisahau kuhudhuria banquets zote na wale wa shato pori waachane nazo. Halafu muone mtakavyoisoma namba semester ijayo.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Mkuu unapenda ubuyu, kweli umeona hiyo nayo ni habari ya kutuletea hapa jukwaan, unamaanisha nini kusema baada ya kuteseka miezi miwili ? Kwani wanapewaga baada ya mwezi mmoja au ? Wamepewa hela ya gani kujikimu i wakati ni muda wa vyuo kufunga, semester ya pili inaisha wengi wanaenda likizo sasa utoe maelezo hiyo hela ni ya nini ?
 
Back
Top Bottom