Musa na Halima ni std 7 na ni wapenzi pia. Baba Halima hajasoma shule lkn alikuwa strictly kwa mwanae asome ili awa daktari,.walipofunga shule Musa alitaka kumuona KIPUSA wake(mtoto wa geti kali)...
Yupo huyu MwanaJF mwenye kutumia ID ya THK DJAYZZ ana staili yake ya kuchangia thread kwa namna yakuchekesha sana kwa kutumia misamiati ya mtandao. Kama akiona thread haijamkaa vizuri anaporomosha...
Kijana mmoja alifanya mtihani wa form IV pamoja na mama yake mzazi.Mama ake alikuwa ana re-seat mtihani tena alikuwa anapata muda kidogo tu kujisomea. Matokeo yao yametoka mwaka huu;Mama kapata...
Ukitazama mambo mengi mema kwa maovu, ya busara na yasobusara mengi hufanywa usiku.
STAREHE: Wengi kati ya wapenda starehe hupendelea sana kutoka sehem mbali mbali nyakati za usiku na...
Hawa member wa jf wananichanganya sana. naomba tuwaundie kamati ndogo ya uchunguzi ili tujue nani ni nani. vile vile kuna na Id ya Lizzy ina matatizo pia. Id nyingine zenye kuntia shaka kwa...
Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla ugomvi unakuwa mkubwa mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka. Mume anashangaa anamuulizaa: Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo...
nmejitahidi kuyatafuta bila mafanikio. naomba mwenye matokeo ya senetor au wakusoma atuwekee hapa tuyaone. sababu tangia matokeo yatoke wameingia mitini, hawaonekani kwa darubini wala miwani...
sijasoma bandiko lake hata moja la utashu!
Hivo nimemkosa kweli naskia kala ban. Dayme!
Usiwe na was Golden Mpoleeee mm hapa G Mpoleeeee nakuwasilisha!
GM
Nchi hii bana, hadi natoa povu hapa nilipo! Angalia huyu alivyopinda, wenzie wakaona wamkandamize ngoma ikifika duru la pili, hadi analialia, kosa lake kayaanza mwenyewe. We thought he was sir...
Baada ya Dalili za Mgomo wa Matabibu wetu kufikia Tamati, Nashauri wale wote waliokuwa shababi katika kulaani mgomo huu bila kufanya upembuzi yakinifu waitishiwe mgomo wa kutotibiwa mahali popote...
Je Umewahi kudaiwa?, ukapata Machungu na ukakosa Amani? Mahusiano na Mdeni yakaharibika?, Je alipokuwa anakudai na wewe huna cha kulipa ulikuwa ukijibu nini?
Kama huto jali share experience yako...
Imebainika kwamba sababu kubwa ya Wazaramo wengi kutohuduria vidato ni sababu ya kutoona umuhimu wa kufanya hivyi baada ya kuona outcome yake.....................sikia hii........kwamba wengi...
Jaman wote tuliopata matokeo yet ya form four na kubahatika kushinda na kuendelea na masomo ya advance tuungane leo kumshukuru MUNGU KILA mmoja kwa imani yake.kwani o'level ni daraja kubwa na...
Leo ni tarehe 8 - 2, kilichonishangaza ni watu fulani walipokuta nimeandika sehemu hizo namba, wao bila ya kuuliza wakaamua kunikasirikia siku nzima.
Nilipochunguza, nikagundua kuwa ni mashabiki...
niko MPANDA wadau
@1kg ya noah ni buku 3, mnyama ametulia, fresh hajalala kwenye friza...nimependa kwa kwel..
wakati huo dar inakaribia buku 9...nataman mpanda iwe dar
Karibuni mimi nitakuwa kwenye viti virefu pale samaki samaki mlimani city...nijipatie moja bariiidi ili kichwa iweze tulia...aliyekubali hii offer yangu anipm ambaye hapati moja baridi hana nafasi...
Hili lazima tuseme hatupingi kama wanafunzi hawakufanya udanganyifu hilo lipo na nivigumu kwa mwanafunzi kupata majibu asijibu hilo tatizo kila mwaka linatokea kuvuja mitihani inategemea kiwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.