Binti alienda kwa daktari huku analia kwa uchungu!Mazungumzo yao yalikuwa hivi:
Dr:Unalia nini?
Binti:Nimemtukana boyfriend wangu kwa kumwambia yeye na mbwa mkubwa!
Dr:Heeee!Kwa nini...
Mwanamke mmoja baada ya mmewe kusafiri aliamua kuwaita mahawara wake wawili wa kiume! Basi vidume havikufanya hiyana vikatia timu; Ghafla bila kutegemea mume akarudi na ikabidi mwanaume mmoja...
One day a girl brings home her boyfriend and tells her father she wants to marry him. After talking to him for while, he tells his daughter she can't do it because he's...
mazee nimebreak up na shemej yenu wa zaman bt nataka ku update window bt cjui ya wapi ndo ya ukwel coz kila dem ninaye muulizia napewa kasoro pls help mi
guys
Kuna mama mmoja alikuwa mjamzito siku moja alikaa vbaya yaan hakujisitili vizur sa kwa bahat mbaya pemben yake palikuwa na mtoto wake mwingine yule mtoto alipomchungulia ***** akapiga kelele huku...
Little Johnny and Jenny are only 10 years old, but they just know that they are in love.
One day they decide that they want to get married, so Johnny goes to Jenny's father to ask him for her...
Mr. Penis has a very misarable life his hairs is a mess..
His family is nuts..
his neighbour is an ass hole..
His best friend is pussy.. And
his owner beats him..!
Watanzania tunachagua sana vitu vya kula na kutumia angalia wenzetu wachina milo yao inapatikana kwa kwa vitu vinavyopatikana bure au kwa gharama nafuu mfano;
1. Nyoka huitaji kuwafuga unawatafuta...
kuna jamaa mmoja ktk nyumba niliyopanga anapenda sana kupiga wenzie chabo mara ktk nyufa za milango, mara dirishani na kwakuwa nyumba yetu haina dari kwa juu anapanda na kuchungulia. Amekuwa kero...
Dear friends and fellow members,
Niko Airport ya Dar waiting my connection flight to Turkey. Will be in Turkey (Istanbul) for eight days at Green Park Hotel located in the City Center. Its more or...
87% of Smartphone users use their phone on the toilet. No wonder that there sometimes is a lot of background noise: Android4Africa: Android is dominating in the Toilets
:A S embarassed:
1. Kujiita romantic wakati upo single?. 2. Kung,arisha viatu wakat unaenda kupga passport size. 3.Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha?. 4. Kumwamsha mgonjwa ili...
Nimewasikia mwenyewe jana kijiweni walevi wakipanga mgomo wao. "Ati haiwezekani tunanyanyaswa sana kila wakitaka kupanuo wigo wa kutoza kodi wanaanza kwanza kwa walevi halafu wavuta sigara...
Jamaa kajitoma mskitini ghafla, huku majasho
yanamtoka!
Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa,"
watu
kimya. Karudia tena kimya "nani muislam hapa".
Ghafla kamnyakuwa
jamaa...
Mimi ni mwajiliwa kwenye kampuni ya mwekezaji hapa Tanzania, mkataba wangu unasema km nitataka kuresign nitoe notice period yamwezi mmoja au nitoe mshahara wangu mzima wa mwezi mmoja km sitaweza...
Daktari mmoja baada ya kuwapa tiba wagonjwa wa akili, akaamua awape jaribio kuona kama wamepata nafuu. Hali ikawa hivi;
Daktari akawaingiza darasani kisha akatoa mtihani. Kwanza akachora mlango...
Kwa wale wanawake wenye waume zao hapa Jf mchunge sana..umu kuna vijizi vya mabwana za watu,macho yao yako juu juu kuiba tu..
Sisi tuliopendwa tukapendeka,tuliotulia tukatulizana,tuliotunzwa...
Kwa mara ya kwanza katika historia yangu, nimevaa vazi hili lenye asili ya Mashariki ya Kati. Moja fulani hivi nyeupe, pamoja na kofia yake yenye muundo wa nyavu nyavu. Nahisi nimependeza ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.