Ikitokea kwao wanarudia mitihani imetokea kwetu wamefuta matokeo

Isalia213

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,198
431
Hili lazima tuseme hatupingi kama wanafunzi hawakufanya udanganyifu hilo lipo na nivigumu kwa mwanafunzi kupata majibu asijibu hilo tatizo kila mwaka linatokea kuvuja mitihani inategemea kiwango tu kweli mwaka huu z'bar lilikithiri hilo jambo lakini kuwafutia matokeo sio sawa lamuhimu kufutwa matokeo yote na kurudiwa mtihani kama mwaka 1998 au kwa kuwa limetokea z'bar bado tunajiuliza karibu skuli 13 kufutiwa matokeo hili jambo linaumiza sana wazanzibar tambueni iko siku moto utawaka.
 
mmezidi uvivu wanafunzi nyie.
kazi kula urojo tu, mlidhani mtafaulu by osmosis?
 
Back
Top Bottom