Golden Mpoleeee, G.Mpoleeee na Mpoleeee nani ni nani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Golden Mpoleeee, G.Mpoleeee na Mpoleeee nani ni nani??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by dubu, Feb 9, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Hawa member wa jf wananichanganya sana. naomba tuwaundie kamati ndogo ya uchunguzi ili tujue nani ni nani. vile vile kuna na Id ya Lizzy ina matatizo pia. Id nyingine zenye kuntia shaka kwa mwandiko ni The boss na Invisible. ile ya flora msofee dukuduku lishaisha.hahahaaa...!!
   
 2. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kaaaaazi kweli kweli.
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  flora msoffe amefanyaje? Naye ana id nyingi?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  subiri TISS tunaifanyia kazi..
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  na mwita25 na amwit52 huna wasiwasi nao?
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Afu amepotea sana siku hizi.
   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  ongezea na mchaga25 kwenye hiyo list yako. hawa watu ni tishio sana. wanajibadilisha kama kinyonga.
   
 8. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  alipigwa ban.
   
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aisee! Itakuwa ya mwezi kama sio miezi manake ni mda sana.
   
 10. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  hivi yule aliyejisahau akajitaja kwenye id tofauti kisha wakaziunganisha ni wewe au flora? munanikonfuzi. mkuu vipi mbona kimya. halafu ulinidanganya.
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  sio kwamba nilikomfuzi nilifanya kusudi ili wajue niko on line, ehe niambie nimekudanganya nini?
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ID gani ya Lizzy yenye matatizo?
   
 13. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  sio kwamba ina matatizo sema inanchanganya yaani inanikonfuzi. ile Lizzy na LizzyII.
   
 14. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #14
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  iko sahau wewe nambia itakuja kiembe mbudhi? lakini iwe siri yako lol. hahaaa..!!
   
 15. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo ndio utaona umuhimu wa double/multiple ID unapokula ban
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kinachokuchanganya hapo ni kitu gani?
   
 17. G Mpoleeee

  G Mpoleeee Senior Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona umeamua kukuzia jina lako kwa id yang. Hapo simpo uschanikiwe!

  Hadth hadth!!

  Alikuwepo memba mmoja kwa jina la Mpoleeee. Alikua ni mzuri na mpoleee mpaka had mjinga. Akawa anaonewa san na memba wa kale hasa ma supa sta! Mpoleee kwa hasira akabadilsha pw ngum akainakil kweny karatas akatafuna. Huyoooo kiroho kika mdunda akaomba msamaha kwa cookie akaja kama Golden Mpoleeee. Mzuri na mpoleeee ila sio mjinga. Nikamkubal sana nikawa nasoma mabandiko. Mpaka alipo kula ban. Nimekuaja chukua nafas yake mpaka ban iishe! Kama hujaelewa bado utakua na mtindikio wa akili! Ova!


  GM
   
 18. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  ivo!!!.
   
 19. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  nahisi nyie ni somo au ni ndugu yako, uongo?
   
 20. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180

  Sawa mkuu nmekusoma. kumbe ipo hivyo!. basi sawa.
   
Loading...