We Unasoma Uje DSM, mIE nISOME nIENDE wAPI!!!!!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We Unasoma Uje DSM, mIE nISOME nIENDE wAPI!!!!!!?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Amavubi, Feb 10, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Imebainika kwamba sababu kubwa ya Wazaramo wengi kutohuduria vidato ni sababu ya kutoona umuhimu wa kufanya hivyi baada ya kuona outcome yake.....................sikia hii........kwamba wengi wanaosoma mustakabali wao ni kuja DSM kutafuta kazi na kwa sababu Wazaramo wao wako Dar HAWANA HAJA YA KUSOMA......................Na hilo hapo juu ndio swali lao kubwa....kwa sababau hii wameamua kutojiita wazaramo bali Watalamu.............
   
Loading...