8 - 2

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,037
24,595
Leo ni tarehe 8 - 2, kilichonishangaza ni watu fulani walipokuta nimeandika sehemu hizo namba, wao bila ya kuuliza wakaamua kunikasirikia siku nzima.

Nilipochunguza, nikagundua kuwa ni mashabiki wa Arsenal

Kwani kuna tatizo gani kuandika 8-2?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom