nime mmiss Golden Mpoleeee

nime mmiss Golden Mpoleeee

G Mpoleeee

Senior Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
153
Reaction score
16
sijasoma bandiko lake hata moja la utashu!
Hivo nimemkosa kweli naskia kala ban. Dayme!
Usiwe na was Golden Mpoleeee mm hapa G Mpoleeeee nakuwasilisha!

GM
 
Hivi haya matokeo yaliyotangazwa jana hayawahusu?
 
G mpolee hujaandika bongo flava kweli kwenye pepa yako?
 
kuhusu matokeo yaliyotangazwa umepata divisioni ngapi?

hamchelewi kudge! Ningekua f.4 liva ningefel ningekua cna hal ya kuingia jamii ninge faulu ningekua mitaan kujijgamba kwa wenzang kama hao madog wanavyofanyag. mm nipo college kwa taarifa yako!
 
hamchelewi kudge! Ningekua f.4 liva ningefel ningekua cna hal ya kuingia jamii ninge faulu ningekua mitaan kujijgamba kwa wenzang kama hao madog wanavyofanyag. mm nipo college kwa taarifa yako!

Yule yule in different ID.
 
hamchelewi kudge! Ningekua f.4 liva ningefel ningekua cna hal ya kuingia jamii ninge faulu ningekua mitaan kujijgamba kwa wenzang kama hao madog wanavyofanyag. mm nipo college kwa taarifa yako!

upo college gani best?
 
Dah!....umejiunga leo. Hivi kuna maana gani kuwa na ID zaidi ya moja?
 
store mangmnt.

aisee kozi nzuri sana iyo,ina market sana..kuna jamaa zangu wengi kwenye kampuni zao wanatafuta sana watu kama wewe..tuendelee kuwasiliana tu..vipi upo hostel au unatokea home?
 
Back
Top Bottom