matokeo ya form 4 ya senetor na wakusoma

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
nmejitahidi kuyatafuta bila mafanikio. naomba mwenye matokeo ya senetor au wakusoma atuwekee hapa tuyaone. sababu tangia matokeo yatoke wameingia mitini, hawaonekani kwa darubini wala miwani. wasije kuwa wamemuiga mtoto wa kikwete. asanteni.
 
S.450/0257/2011
DIV IV point 33-"senetor".Baada ya dakika sifuri na leta ya "wakusoma"
 
Teh teh teh,nyie vijana,me nilimalzana na necta tangu 2009.
 
Senetor kaandika mistar ya kalapina kwenye Booklet, and then kachora pcha ya nabii koko as Album Cover.
 
Teh teh teh,nyie vijana,me nilimalzana na necta tangu 2009.

kaka,siku ile nilipigwa ban kabla sijakujibu.
Niko mwaka wa pili ndugu.
Alafu unaonaje siku ya maafali nikusapraizi na zawadi pia iwe siku ya mimi na wewe kuonana.karibu
 
kaka,siku ile nilipigwa ban kabla sijakujibu.
Niko mwaka wa pili ndugu.
Alafu unaonaje siku ya maafali nikusapraizi na zawadi pia iwe siku ya mimi na wewe kuonana.karibu

kijana achana na mambo ya mahafali kwanza,bado kuna supp znaninyemelea,hayo 2taongea baada ya semister ijayo kuisha.
 
kijana achana na mambo ya mahafali kwanza,bado kuna supp znaninyemelea,hayo 2taongea baada ya semister ijayo kuisha.

Hapa nimecheka si kipolepole.
Sasa sijui nimekucheka, au nimecheka ulichoandika.
Pambana tu kijana. Usione mtu anapiga mzigo ukasema, yule ana kabachelor gentleman, alikasotea hako ambacho watu wanakadharau kwa kukaita gentleman.
 
Back
Top Bottom