Nimewasikia mwenyewe jana kijiweni walevi wakipanga mgomo wao. "Ati haiwezekani tunanyanyaswa sana kila wakitaka kupanuo wigo wa kutoza kodi wanaanza kwanza kwa walevi halafu wavuta sigara...
Jamaa kajitoma mskitini ghafla, huku majasho
yanamtoka!
Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa,"
watu
kimya. Karudia tena kimya "nani muislam hapa".
Ghafla kamnyakuwa
jamaa...
Mimi ni mwajiliwa kwenye kampuni ya mwekezaji hapa Tanzania, mkataba wangu unasema km nitataka kuresign nitoe notice period yamwezi mmoja au nitoe mshahara wangu mzima wa mwezi mmoja km sitaweza...
Daktari mmoja baada ya kuwapa tiba wagonjwa wa akili, akaamua awape jaribio kuona kama wamepata nafuu. Hali ikawa hivi;
Daktari akawaingiza darasani kisha akatoa mtihani. Kwanza akachora mlango...
Kwa wale wanawake wenye waume zao hapa Jf mchunge sana..umu kuna vijizi vya mabwana za watu,macho yao yako juu juu kuiba tu..
Sisi tuliopendwa tukapendeka,tuliotulia tukatulizana,tuliotunzwa...
Kwa mara ya kwanza katika historia yangu, nimevaa vazi hili lenye asili ya Mashariki ya Kati. Moja fulani hivi nyeupe, pamoja na kofia yake yenye muundo wa nyavu nyavu. Nahisi nimependeza ile...
Mie sikuyajua haya..
Katika pitapita zangu mtandaoni ndo nikakutana na hii kitu... Hata sikuamini macho yangu.
Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
KUTOKA KIJIWENI
Kweche: Hii ni hali ya hatari !
Susei: Kwa nini unasema hivyo, kulikoni?
Kweche: Madaktari wote wamegoma, walianza wale wakawaida, sasa nasikia na madaktari bingwa nao wamegoma...
jamani kama kuna mtu anaukumbuka ule wimbo tulikuwa tunapiga kwenye gwaride la shule ya msing enzi ya mwalimu Kajiba. wimbo wenyewe ulikuwa wa mwndo wa pole. unaitwa baba paka nyau, please!
Wife is like a TV
Girlfriend is like a MOBILE
At home u watch TV, but when u go out u take ur MOBILE
No money, u sell the TV, got money u change ur MOBILE
Sometimes u enjoy TV, but most of...
Unknown No.1
Hi,Do u have a boyfriend?
Girl:Yes.Who are you?
It's your dad, be home this weekend, and we will talk!
Unknown No.2
Hi do you have a boyfriend?
Girl:Not a chance,who are you...
Nilikuwa chuo wakati ninaishi na uncle wangu OBay. Uncle alikuwa na binti mmoja tu aitwae Jaquillin na alikuwa mkubwa kwangu na anafanya kazi Tanesco. Untie alikuwa amefariki.
Siku moja alikuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.