Una mtoto anaejua kiingereza?,soma uone mbinu zao pls!.

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
Musa na Halima ni std 7 na ni wapenzi pia. Baba Halima hajasoma shule lkn alikuwa strictly kwa mwanae asome ili awa daktari,.walipofunga shule Musa alitaka kumuona KIPUSA wake(mtoto wa geti kali) hvyo akakaza roho akaenda kwa akina Halima,..MUSA:Hodiiiii. BA HALIMA:Karibu-akafungua mlango. MUSA:Shikamoo(mzee akaitikia). Ni...nilikuwa nomba kitabu kwa Halima pia anielekeze hesabu kabisa yeye anazijuwa mimi zanitatiza.(akaitwa halima na babake akaja). MUSA: Gmrng?,naomba kile kitabu cha YOU KNOW I CANT LIVE WITHOUT YOU HONEY na kile cha YOUR PAPAA DOESNT UNDERSTAND ENGLISH CAN WE SIT AND TALK kabisa pia unifundishe hizi hesabu?. HALIMA:Sawa nnacho pia kile cha HE WILL BE GOING OUT IN A MOMENT SO WE WILL BE FREE ntakupa hicho. BABA: hahahahahaaa mashaaaAllah watoto mwasoma kwa bidii kweli,vitabu vyote hvyo!. Masomo mema mi naenda mjin ntarudi baadae watoto wazuri.
 
wamepata wapi mbinu hzo watoto wadogo hvyo?,ni nzvr sana hii
 
Duh! Watoto wanajua maneno ya kiinglish ya kutongozeana tu. Khaa!
 
husninyo sasa c ndo session iliyokuwapo muda huo?
 
Angel!, kiinglish kozi ni muhmu sana maana hawa watoto wata2shnda bure.
 
itokee mara ngapi??

Mtoto wangu wa fomu 2, wakati akiwa kaanza shule alisema kapoteza civics ya shule, nikatoa elfu 20.

Ngumbaru afu mwawapeleka watoto st mary's... Kuna siku watavunja Chemistry ya mwalimu afu mtalipa!
 
itokee mara ngapi??

Mtoto wangu wa fomu 2, wakati akiwa kaanza shule alisema kapoteza civics ya shule, nikatoa elfu 20.
Ha ha ha! Shukuru mungu civics ya shule inauzwa elf 20, ungelipishwa laki kama angepoteza Maths na Physics ati!...
 
Angel!, kiinglish kozi ni muhmu sana maana hawa watoto wata2shnda bure.

Ndiyo maana mie kabla sija'join na Jf kwanza nikajiunga na ENGLISH FIGURE ! Pale mtaa wenye keep-left, wanafundisha sana kingredha cha kidhungu .
 
:poaha ha ha ha.....unakikumbusha mbali sana sana....kumuomba mzazi hela ya Bunsen burner na test tube kila mwananfunzi anatakiwa awe na yake:shock:. dah uelewa kidogo wa hii lugha ya kigeni ni muhimu vinginevyo mtu unaweza kuumbuka
itokee mara ngapi??

Mtoto wangu wa fomu 2, wakati akiwa kaanza shule alisema kapoteza civics ya shule, nikatoa elfu 20.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom