Kwajinsi Ninavyoipenda JF Basi Popote Niko Na PC Yangu

Kwajinsi Ninavyoipenda JF Basi Popote Niko Na PC Yangu

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Kwajinsi ninavyopenda kushinda JF basi hata kwenye gari langu huwa niko Fulltime naBofya tu!
Crazy with my PC.jpg
 
Mkuu JF imekupagawisha hadi umehamisha ofisi kwenye gari? Makubwa!
 
duh, i can imagine.

Na hako ka mwanya kama uchochoro full burudani.
 
kwa hapa bongo wezi wa laptop sijui ungewafanyaje aisee..
 
Tabu yote ya nini mkuu. kwani simu ya mkononi hauni.
 
Back
Top Bottom