Aibu.

Aibu.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Kijana mmoja alifanya mtihani wa form IV pamoja na mama yake mzazi.Mama ake alikuwa ana re-seat mtihani tena alikuwa anapata muda kidogo tu kujisomea. Matokeo yao yametoka mwaka huu;Mama kapata division II point 18 na mwanae ambaye alikuwa akisoma boarding kapata division IV point 28.
 
....mh,labda yule dogo wa "pesa wasichana" na "mama yake"
 
Back
Top Bottom