kwa hili tuwe pamoja jamani

DavidHard

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
435
273
Jaman wote tuliopata matokeo yet ya form four na kubahatika kushinda na kuendelea na masomo ya advance tuungane leo kumshukuru MUNGU KILA mmoja kwa imani yake.kwani o'level ni daraja kubwa na kulivuka yakupasa umtangulize Mungu mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari.amen.
 
Amen. Hongera sana kwa kufaulu mkuu. Inakupasa umshukuru kwani bila yeye wewe usingefaulu. Wangapi wenye akili wamefeli na wewe umefaulu? Wewe ni nani hata akupendeleea kiasi hicho kuliko hao wengine/
 
Jaman wote tuliopata matokeo yet ya form four na kubahatika kushinda na kuendelea na masomo ya advance tuungane leo kumshukuru MUNGU KILA mmoja kwa imani yake.kwani o'level ni daraja kubwa na kulivuka yakupasa umtangulize Mungu mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari.amen.

Kumbe una akili.Ingekuwa kile kizazi chenu cha masharobaro wangeitana wauchape mtindi au wafanye party (mnatamka pary)
 
ukweli nilikuwa nimeshapotezewa na wazazi wangu eti kwanini niko na watoto wahuni.LAKINI NASHUKURU NIMERUDISHA IMANI BAADA KUFAULU MTIHANI.KWELI MUNGU MKUBWA.dady jana tu kaniambia nichague shule yoyote nitayopenda kusoma Tanzania hii,Mother kaniita Mtoto wake kama zaman sio mjinga tena kama ilivyokuwa imezoeleka.Mungu mkubwa.
 
huku unatafuta nini wewe???
Ndo mana hata wazazi wako hawana imani na wewe.

Fomu foo unataka kupiga honi??
 
Poa najua unauliza hivi kwa kebehi ila amini hakuna mbuyu ulionzia juu.muda kidogo ntakuwa level nyingine na cio 4m4 tena.
 
Back
Top Bottom