Kwanini Fastjet wanazuia usifunge madirisha

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,113
10,219
Hebu nyie wajuvi wa aviation mtuambie hapa kwanini,hawa jamaa wanazuia,maswali mengine ukiwauliza wanakujibu mkato eti wanataka mwanga,mbona wengine unafunga fresh tu hawamind ,mi nikikaa dirishani sipendi kabisa kuona mawingu,sasa mshamba mie mnanisaidiaje!
 
Ni utaratibu wa ndege zote, wakati wa kupaa na kutua madirisha lazima yawe wazi, sababu kubwa ni za kiusalama kuwa, endapo ndege itapata dharura yoyote basi kikawaida ni muda mfupi sana unaotakiwa kuwatoa watu wote ndani ya ndege, hivyo madirisha yakiwa wazi
1: inakuwa ni rahisi sana kwa watu wa ndani ya ndege kuona nje na kuweza kupanga jinsi ya kujisaidia
2: inakuwa ni rahisi sana kwa waokoaji wa nje kuona ndani ya ndege na kuweza kupanga aina ya msaada unaohitajika ili watu waliomo ndani ya ndege waokolewe kwa muda mfupi na kwa uslama
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
 
Kilaza!
 
Hebu nyie wajuvi wa aviation mtuambie hapa kwanini,hawa jamaa wanazuia,maswali mengine ukiwauliza wanakujibu mkato eti wanataka mwanga,mbona wengine unafunga fresh tu hawamind ,mi nikikaa dirishani sipendi kabisa kuona mawingu,sasa mshamba mie mnanisaidiaje!
Sidhani kama unaposema "kufungua dirisha" una maanisha kufungua mpaka hewa ya nje iingie ndani,bali ni kufungua lile "cover" la plastic tu ili usione nje,Hili ni suala la safety precaution au safety procedure,mfano hata kama kuna moto ndio unaanza kwenye engine basi itakua ni rahisi kuuona na kutoka report kwa cabin crew.
 
1. Nadhani viyoyozi vyao ni vibovu sasa ili kuokoa gharama lazima wafungue madirisha ili abiria wapate upepo.
2. Pia, kama kuna mama mja mzito kama akitapika iwe rahisi kwake asiteseke

Na hili suala wewe sio wa kwanza kulalamika, mimi binafsi nilishawaandikia barua kwamba angalau kama ni kufungua madirisha basi yawe machache tofauti na sasa maana ni mara chache kukuta wanawake wenye mimba wamepanda ndege wengi...
Mkuu hiyo namba 1 hebu jaribu kuona aibu japo kidogo tu! Ndege ifunguliwe madirisha ili hewa iingie ndani??! Kitu kinaenda speed ya 600-700 kph ufungue dirisha?! Mleta mada amekusudia kufungua lile cover ambalo ni kama "Pazia" tu ambalo wewe umefikiri ni kufungua dirisha!
 
Sikutegemea kukuta koment ya dizaini hii. Nina mashaka makubwa sana na uwelewa wako kijana.
 
Mkuu hiyo namba 1 hebu jaribu kuona aibu japo kidogo tu! Ndege ifunguliwe madirisha ili hewa iingie ndani??! Kitu kinaenda speed ya 600-700 kph ufungue dirisha?! Mleta mada amekusudia kufungua lile cover ambalo ni kama "Pazia" tu ambalo wewe umefikiri ni kufungua dirisha!
Mwenzio kulingana na maelezo yake ameshawaandikia kabisa barua kuwalalamikia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom