mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,240
- 1,794
Nimeona airtel Bando ya usiku kwa 600 wakasema Ni bila kikomo kuanzia saa 6 mpaka saa12 asubuhi ghafla Nina torrents. Kibao zimekomea njiani nikasema hapa ntakamilisha duh kujiunga na ka line kapya wanachojibu duh nimeishia kucheka kwa uchungu du bora wangeweka wazi tu nikajua tsh600/= wananipa GB 1 usiku huo na sio bila kikomo.