Royal Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 875
- 1,618
Nimefanikiwa kujua sisi Watanzania hatujui tunataka nini RC Makonda alipoanza kufuatilia madawa ya Kulevya mkaanza mara cheti alitumia cha mtu mwingine alipokuwa DC hamkuwepo
au alikuwa na cheti halisi
Mkaanza mara J.K mpole sana anatakiwa Rais Mkali kaja JPM mnaanza kusema sijui Dikteta wengine
Hivi sasa tunataka kiongozi wanamna gani yule Bwana Ufufuo alipomtukana. Kardinal mkasema hayupo sawa aliposema anafufua watu mkasema Muongo leo kaja na hili la Daudi
Mnaanza kumwamini yeye anasema anacheti cha Daudi yeye amekuwa Necta
Tusiwe kama watoto mtoto anaweza kulilia baiskeli mkiwa njiani kwenda kununua hiyo baiskeli akaona pipi akalilia hiyo akasau baiskeli
Tumpe support huyu RC
Mnaanza sijui cheti muda wote mlikuwa wapi