Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 267
Nilipata sikia kwamba katika majengo marefu huwa hamna floor inayotambulika kama namba 13. Mwanzo ckuamini na nilianza fanya uchunguzi na nlipata notice hicho kitu pale nilipoenda ppf towers na nilipoingia ktk lift nikakuta button zote kuanzia ground to floor 17 zipo except #13. Nilijiuliza sana. Kwa wale architects na civil engineers mnaweza kutujuza kuna sababu yoyote ya kiufundi..? au what is behind this saga..?
Jaman leo nimekutana na topic ya gorofa kutokuwa na floor number 13, ndo nikakumbuka kuwa kweny simu nying kuna alama katika namba 5 mie natumia Nokia nadhan hata simu nyingne zina hii alama au kweny keybord ya computer kwenye namba 5 kuna alama hyo. Nilivo uliza weng wanahisi itakuwa kwaajil ya watu wasioona. Je kuna mtu anajua maana au matumizi? Na kama kweli za walemavu wa macho kuna mtu aliemwona mtu mlemavu akitumia simu vizuri kabisa?
Niaje wana jamiii!!
Inasemekana na wenda ndivyo ilivyo katika Hotel nyingi kwamba hazina chumba na. 13. Nami nimepita katika hotel chache kujiridhisha juu ya uwepo wa suala hilo nikajiridhisha kwamba hakuna chumba chenye namba hiyo hotel nyingine ili kuepuka kabisa huandika kuanzia 100 na kuendelea.
Inavyosemekana ajuu ya kutokuwepo kwa namba hiyo ni kwamba inahusishwa na mambo ya kishirikina wanatumia neno rahisi 'Devil's luck or workout' anyway sijafanya utafiti sana wa kuwauliza wamiliki na kujua haswa kwa undani nini wanachohofia lakini kwa kutumia observation technique katika hotel chache nimepata kuthibitisha hilo.
Wenda nawe unaweza kuwa na mawazo tofauti na haya au kufahamu kiundani zaidi. Je wewe wasemaje? Je umeshawahi kusikia au kuona?