Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Amani iwe kwenu. Tukiendelea kusukuma gurudumu la maendeleo ni vyema tukamulika mkoa kwa mkoa. Sasa kwa maoni yenu wadau mliowahi kufika Dodoma, Kilimanjaro na ambao hamjawahi kufika Hugo. Je...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Mheshimiwa Makonda pole sana kwa jina lako kuendelea kuchafuliwa pasipo kuchukua hatua za kisheria. Kipindi cha nyuma ulishawahi kuagiza Mhe. Kubenea akamatwe na kufikishwa Mahakamani kutokana na...
10 Reactions
126 Replies
14K Views
Zamani nilikuwa napenda sna kwenda kuangalia Cinema. Nikamjua Bruce Lee ,Chuck Norris and the Like of Rambo,Van Dame and Arnold. Teknologia ikatuletea pia Marobot. Among ya sifa au tabia ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mgambo mmoja ameded baada ya wenzake kuondoka baada ya kuzidiwa ndo nyomi nzima ikamvaa mtu mgambo 1 aliebaki
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau habari za mchana, Mimi naishi Mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
Habari wakuu, Bei za vyakula bei juu, gesi juu, mkaa juu,umeme juu... Twafaaa Mama ntilie sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam wameacha huduma ya chakula aina ya ugali kutokana na bei ya...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
Yaan mechi ya Jana tungeshinda ttu,sasa yule babu hats sijui timing zake???
1 Reactions
2 Replies
843 Views
Leo tarehe 05/03/2017 BAWACHA Mkoa wa Dar es Salaam walitembelea Hospitali ya Ocean Road na kutoa misaada mbalimbali kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini. Hii ni katika kuadhimisha Wiki ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za humu Wakuu! Naomba kujuzwa ni brand ipi ya bati au kampuni ipi ya bati inayozalisha bati nzuri kwa kuezekea ambazo hazipauki. Nauliza hivo kwa sababu kumekuwa na viwanda vingi sana siku...
1 Reactions
0 Replies
752 Views
Habar wadau, Nina swal nataka nijue,pengine tukijadil tunaweza pata majibu sahihi kwa pamoja. Nimekuwa nikishuhudia na kuona baadhi ya askar wetu wa tz wanavyokuwa wakifanya mambo ambayo kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nimeingia na nilipofika counter nikakuta ametundika viroba vya karanga, na nikamwambia anipe kiroba. akasema hawana na vimepigwa marufuku. nikamwambia mbona naviona hivyo hapo? akageukia pale...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Faru wetu Joni aliyepotea katika hali ya kutatanisha nimedokezwa kuwa Pembe zake zilikuwa Kilo kati ya 7 hadi 10 na cha kushangaza na kupandisha hasira jana Waziri Mkuu kaingizwa mkenge kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwako Mkuu wa Mkoa, "Other tings kept constant", kwa hili la Kuwaomba Wachina watujengee uwanja wa Michezo na wakakubali nakupongeza sana, maana mpira wa miguu ni sehemu ya burudani na ajira ya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu nimegundua kwamba kelele tunazopiga juu ya RC hazitazaa matunda yoyote yale kutokana na Boss (Rais) wake kutosikia kelele zote hizi. Hebu tuangalie upande wa Pili ambao ni muhimili...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habarini nipo katika nyumba ya kupanga lakini umeme ni shida kwa sababu ni nyumba za familia zipo kama 4 hivi, zina tumia luku moja bas dah .
0 Reactions
4 Replies
4K Views
mimi nilikuwa mpenzi wa kusikiliza redio ya bbc ambayo ilikuwa inapatikana katika 103.3 fm, sasa masafa hayo inasikika miziki tu...na nasikia eti kwa sasa masafa hayo yameanza kutumiwa na radio...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
*TAARIFA* Karibu kwenye Ibada ya Jumapili 05/03/2017 katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Askofu Dr Josephat Gwajima atakuwepo akifundisha na kuwaombea wenye shida na matatizo...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Nchi 10 Duniani zilizopiga marufuku vitu vinavyoshangaza Kila nchi duniani imekuwa na utaratibu wake na hata zingine kupiga marufuku baadhi ya vitu kulingana na utamaduni wa nchi husika, Leo...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Leo nimeshangaa sana secretary wanasema huna appointment naye. Yaani mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam umekuwa ngumu kuonana naye kuliko Waziri Mkuu? Ila akina shilole ndo anapiga nao picha Instagram
8 Reactions
43 Replies
6K Views
Ukiwa mpinzani nchini Tanzania unatakiwa ujiandae kiakili. Wema Sepetu na Mzazi wako mmejiandaa? ======================================================== Mariam, ambaye ni mama mzazi wa mrembo...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom