Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,582
- 48,737
Nakumbuka nilipojiunga chuo niliambatanisha vitu vifuatavyo...
Cheti changu cha kuzaliwa na affidaviti ya wazazi
Cheti cha form four na form six
Naomba niulize ningekuwa nimefoji vyeti vya secondari cheti cha kuzaliwa na affidavit ya wazazi ningetumia ipi? ya wazazi wa kufoji? na kama nikikamatwa hii kesi itanihusu mimi tu au na hawa wazazi?