Francis Jackson
Member
- Nov 15, 2016
- 46
- 19
Wapo ambao bado wapo gizani juu ya kinachosema na mch.Gwajima kuhusu Daud Bashite.
Wengi wanasema eti ni kwa kuwa Paul Makonda kaanzisha vita ya madawa ya kulevya.
Lakini Mimi nawaombeni tujikite kwenye uharisia wa kitu.tusiaangalia hii hoja ya vyeti imeibuliwa na nani na kwa wakati gani? Ila tujikite kwenye maudhui ya hiyo tuhuma inayomkabiri Paul Makonda.
Naombeni mnijuze kama aligushi vyeti kweli.Na kaka mkuu alisema "kama ulizungusha ni bora ukasema mapema ili tukuungalizie nafasi inayoendana na elimu yako kuliko kudanganya ili upate mshahara mkubwa"
Je kaka mkuu atachukua hatua yoyote juu ya Paul Makonda fake?