Muheshimiwa Raisi kama kweli unamuamini Mungu

chinekeeee

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
1,787
2,894
Nakuomba muheshimiwa Rais kama kweli wewe ni msema kweli na una muamini Mungu nakuomba utuletee real Paul Makonda awe mkuu wa mkoa wa Dar es salaam badala ya Daudi Bashite ili kusibitisha usema kweli wako mbele ya Mungu

Chinekeeee
 
Hata kiapo alicho apa Bashite ni batili kwa kuwa hakuapia jina lake
Ki ufupi bashite ni jamaa mwingineee
Tuna mtaka mkuu wa mkoa wetu Paul Christian Makonda.
La si hivo Bashite aapishwe tena kama mkuu wa mkoa mpya
 
Anasubiri bunge limuumbue kwanza bashite, halafu atamleta Makonda original kuwa RC dar.
 
Hata kiapo alicho apa Bashite ni batili kwa kuwa hakuapia jina lake
Ki ufupi bashite ni jamaa mwingineee
Tuna mtaka mkuu wa mkoa wetu Paul Christian Makonda.
La si hivo Bashite aapishwe tena kama mkuu wa mkoa mpya
Kwani jina ndo liaapishwa au mtu ndo anaapishwa? [HASHTAG]#MmegongaMwamba[/HASHTAG]
 
Hata kiapo alicho apa Bashite ni batili kwa kuwa hakuapia jina lake
Ki ufupi bashite ni jamaa mwingineee
Tuna mtaka mkuu wa mkoa wetu Paul Christian Makonda.
La si hivo Bashite aapishwe tena kama mkuu wa mkoa mpya
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom