Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Anaandika Milton Mahanga.
Moja ya kauli ambazo zilikuwa zinangojewa na umma wa watanzania zikamilike lakini haikukamilika ni hii ifuatayo:
"...basi nikawatumia marafiki zangu kunisaidia kufikia ndoto yangu ya kupata digrii moja tu...." Paul Makonda.
Watu tukasubiri aeleze.. how? Yaani hao marafiki zake walimsaidiaje kufikia ndoto hiyo? Kwa kumpa tuition? Kwa kumlipia ada? Kwa kughushi chetu? Au? Maana kuna msaada mmoja hapo ambayo siyo muhali na adhabu yake ni jela miaka isiyopungua saba.
RC Makonda, malizia hii kauli yako, tafadhali.