Habari wapendwa. Mwenzenu sipendi kukiri udhaifu. Sipendi kuhurumiwa, sipendi kueleza shida zangu kwa mtu. Ikitokea nikamweleza mtu matatizo huwa najutia Sana. sipendi kujishusha, sipendi mtu...
Jana nimeenda kupitia sheria ya ndoa sijaona mahali pameandikwa panahitajika cheti cha kuzaliwa kama kigezo cha kufunga ndoa
Mimi ninachokijua kigezo cha kufunga ndoa ni upendo tuu.
Hayo...
Watu wapatao watatu wafunga safari Kutokea Mwanza kuja Arusha KWA MIGUU wakitembea huku wanafanya DUA Maalum yakumuombea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema,safari hiyo waliianza...
Askofu Gwajima asema yeye ni mashine. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe...
Nina mengi sana yakuongea ila sina hamu kwa sasa labda badae nitakuja kuongea zaidi.
"Shkamoo Tanzania, kama mzigo wa 60,000/= mtu atalipia 123,857 kuupata narudia tena Shkamoo".
SASA NIMEJUA...
Mwaka jana nilileta Uzi juu ya TRA kugoma kutoa vibali kwa wafanyabiasha biashara (Tax clearance certificate) mpaka ulipe madeni ya Road Licence. madeni hayo ni yale ambayo watu tuliuza magari...
Anaandika Comred Malisa Godlisten
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiwemo Wabunge, wanapanga kuvuruga uchaguzi wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) hapo kesho kutokana...
Katika daraja linalo jengwa Kisongo kuna ajali mbaya imetokea kati ya hard top ya ya kitalii na taxi. Nadhani kuna maafa yametokea mi nimepita mida hii ya 12.30 asb na bus. Walioko Kisongo...
Maishani sina imani na taaluma za waandishi wa habari na wasanii. Ila hivi karibuni mawakili pia nimewaingiza kwenye kundi hili. Tusishangae yatakayotokea leo. Nadhani sijaota. .
...
Habari zenu wadau,
Mimi binafsi naikubali kwamba mimi ni Mshamba, Naombeni mnisaidie namna ya kufanya Booking ya Ndege.
KIA (kilimanjaro Int Airport) to Johannesburg (SA)
Kila nikajaribu...
Katika daraja linalo jengwa Kisongo kuna ajali mbaya imetokea kati ya hard top ya ya kitalii na taxi. Nadhani kuna maafa yametokea mi nimepita mida hii ya 12.30 asb na bus. Walioko Kisongo...
1…ilikuwa ni ongezeko la gharama za uzalishaji?
2…ilikuwa ni mtikisiko wa uchumi duniani?
3…ilikuwa ni kuzuia sukari kutoka nje?
4…ilikuwa ni ujio wa serikali ya awamu ya tano?
Tarehe 1 may mwaka huu,ni siku ambayo wafanyakazi wengi nchini hawatajutia kutenga muda wao kumsikiliza Rais wa TZ,kwani kuna mengi wamefaidika,kati ya yote ambayo Magufuri aliyaongea leo,jambo...
Barua ya wazi kwa wizara inayo shughulika na office za uhamiaji
Kulingana na hali ya ajira kuwa ngum ktk nchi yetu pendwa ya jamhuri ya mungano wa Tanzania, ningeomba basi walifikilie jambo...
17/03/2017
Nimeokota cheti cha form four, six na Chuo Kikuu (Udsm) vya *Omari Iddi Maleng'e*. Vyeti vyote ni original. Tafadhali sambazeni kwenye groups nyingine. Piga simu *0784292758*.
Kwanza nitoe pongezi kwa ujenzi wa banda la kukatia ticket kule upande wa Magogoni maana kimsingi ilikuwa changamoto sana na ili ukate ticket lazima awepo mtu wa kukusaidia kupokea hela na kumpa...
Rais John Magufuli amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Alhaji Majid Mwanga kuwasaka, kuwakamata na kuwafikisha katika vyombo vya sheria wafugaji wote wanaodaiwa kuhusika katika matukio ya...
17/03/2017
Nimeokota cheti cha form four, six na Chuo Kikuu (Udsm) vya *Omari Iddi Maleng'e*. Vyeti vyote ni original. Tafadhali sambazeni kwenye groups nyingine. Piga simu *0784292758*.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.