Dr.Godman
Member
- Jan 14, 2016
- 5
- 4
Tarehe 1 may mwaka huu,ni siku ambayo wafanyakazi wengi nchini hawatajutia kutenga muda wao kumsikiliza Rais wa TZ,kwani kuna mengi wamefaidika,kati ya yote ambayo Magufuri aliyaongea leo,jambo moja liliamusha shangwe na nderemo ktk uwanja wa jamhuri mjini DODOMA ni pale rais aliposhusha kiwango cha kodi ktk mshahara(Pay As You Earn,PAYE) ktoka 11% ad 9%,sanjari na hayo pia ameunda board 2 zitakazoshughurikia maslahi ya wafanyakazi nchini likiwemo suala la kupanga kima cha chini cha mshahara,Awali akisoma risala mbele ya mgeni rasm(magufuri),katbu wa TUCTA alipendekeza kima cha chini kiwe laki saba,jambo lililofurahisha pia ni bango moja lililokuwa limeandikwa "rais mwalimu ,mama mwalimu,waziri mkuu mwalimu,mama mwalimu,awamu hii walimu tusiponemeeka hatutaeemeka milele.HAPA KAZI TU