CCM wakiwemo Wabunge, wanapanga kuvuruga uchaguzi wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) hapo kesho

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Anaandika Comred Malisa Godlisten
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiwemo Wabunge, wanapanga kuvuruga uchaguzi wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) hapo kesho kutokana na kile walichoeleza kuwa hawako tayari kuona TLS ikitumika kisiasa.

Nimepata mawasiliano yao ambapo Mbunge wa viti maalumu Arusha Mhe.Catherine Magige amehoji kama kuna namna yoyote inayoweza kufanyika kuvuruga uchaguzi huo. Katika mawasiliano hayo Magige ametoa mapendekezo kwamba ikiwezekana uchaguzi huo uvurugwe, ili CCM ijipange upya kuweza kushinda.

Pendekezo jingine ni kutafuta mbiu yoyote ya kuvuruga uchaguzi huo hata kwa nguvu za dola, ili uahirishwe na kutoa muda kwa serikali kupeleka muswada wa kuifuta sheria inayoanzisha TLS, na hivyo uchaguzi utakapokuja kufanyika baadae TLS haitakua na nguvu kisheria maana itasajiliwa kama NGO.

Mlolongo wa mawasiliano hayo ni mrefu lakini kwa kifupi viongozi hao wamejiapisha kwamba hata ikitokea wakashindwa kuvuruga uchaguzi huo, WATAHAKIKISHA Lissu anashindwa kuiongoza TLS.
 
obviously CCM sasa hivi wako demonically possessed...hili halina ubishi kabisa!
 
Back
Top Bottom