Nini ilikuwa sababu ya sukari kupanda bei

Danken Mbombo

JF-Expert Member
May 30, 2015
651
339
1…ilikuwa ni ongezeko la gharama za uzalishaji?

2…ilikuwa ni mtikisiko wa uchumi duniani?

3…ilikuwa ni kuzuia sukari kutoka nje?

4…ilikuwa ni ujio wa serikali ya awamu ya tano?
 
Sababu zipo nyingi lakini hizi pia zina changia kwa kiasi kikubwa

1. Kipindi cha mvua uzalishaji huwa unasimama hivyo kupelekea upungufu wa sukari na bei kupanda.

2. Tatizo lingine ni magamba wanataboa ya kuchukua fedha za uchaguzi kutoka kwenye makampuni binafsi pamoja na mashirika ya umma hivyo kupelekea na wao kipandisha bei vitu mara tu baada ya uchaguzi ili kurudisha hela yao.
 
Back
Top Bottom