Coner Bar yafunguliwa tena

ng'ombo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
418
619
Screenshot_2017-03-16-16-58-11.png
 
Daaah safi sana nilikuwa nawaza nitapata wapi mademu wa fasta fasta chuo kikifunguliwa aisee nimefurahi saaana hii habari imekonga moyo wangu
 
Habari mbaya sana za ulevi na ukahab* leo. Umeharibu siku yangu !!

Hata hivyo wakalas wa barabara T*NROADS ndiye alipaswa kufungiwa kwani hao wadudu hujianika hifadhi ya barabara na sio kwenye kitalu cha mmiliki.
Siku yako imeharibika kivipi?
Kwani umelazimishwa kufungua na kuusoma huu uzi..?
Ungeufunga huu uzi ukapita kimya kimya...
 
Back
Top Bottom